Hebu respect your audience kidogo... Jifunzeni japo principle za uandishi kidogo..unawezaje kuripoti tukio kwa kuweka picha bila jina kwenye blog ambayo inasomwa na wadau wa kada zote?
Au ndio blog siku hizi inakwenda ki ghetto gheto tu bwana Luca?
Heta ukiminya comment hizi ni sawa tu...lakini tunaona kuna walakini siku hizi.
6 comments:
Waache wasage chupa hao wa huko! Happy Birthday Dada!
Hebu respect your audience kidogo... Jifunzeni japo principle za uandishi kidogo..unawezaje kuripoti tukio kwa kuweka picha bila jina kwenye blog ambayo inasomwa na wadau wa kada zote?
Au ndio blog siku hizi inakwenda ki ghetto gheto tu bwana Luca?
Heta ukiminya comment hizi ni sawa tu...lakini tunaona kuna walakini siku hizi.
Jina lake ni nani?
Is she single and unattached? she looks so beautiful! happy birthday!
Because you are loyal customer,Tembaphoto wishes you the best birthday day.
www.tembaphoto.com
Hicho ni kitu cha Mwenyekiti wa CCM NY.
Post a Comment