ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, April 26, 2015

HASHEEM THABEET ASHUHUDIA KIPIGO TANZANIA BARA CHA GOLI 7-1 KUTOKA KWA ZANZIBAR HEROES

 wachezaji na mashabiki wakipata ukodak moment na mchezaji wa kikapu wa Tanzania nchini Marekani Hasheem Thabeet wakati mchezaji huyo alipojumuika na Watanzania wenzake uwanjani hapo kusherehekea sherehe ya Muungano ya nyama choma na mechi ya mprira wa miguu kati ya Zanzibar Heroes na Tanzania Bara siku ya Jumamosi April 25, 2015 iliyodhaminiwa na Peoples Bank of Zanzibar na Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi kuwa mgeni rasmi.
 Gadaf akijipima urefu kwa kuruka juu iliamfikie  mchezaji wa kikapu wa Tanzania nchini Marekani Hasheem Thabeet wakati mchezaji huyo alipojumuika na Watanzania wenzake uwanjani hapo kusherehekea sherehe ya Muungano ya nyama choma na mechi ya mprira wa miguu kati ya Zanzibar Heroes na Tanzania Bara siku ya Jumamosi April 25, 2015 iliyodhaminiwa na Peoples Bank of Zanzibar na Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi kuwa mgeni rasmi.
 Salma Manyoka akipata ukodak moment na Hasheem Thabeet
 Wadau wakipata picha ya pamoja na  mchezaji wa kikapu wa Tanzania nchini Marekani Hasheem Thabeet wakati mchezaji huyo alipojumuika na Watanzania wenzake uwanjani hapo kusherehekea sherehe ya Muungano ya nyama choma na mechi ya mprira wa miguu kati ya Zanzibar Heroes na Tanzania Bara siku ya Jumamosi April 25, 2015 iliyodhaminiwa na Peoples Bank of Zanzibar na Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi kuwa mgeni rasmi.
Hasheem Thabeet akifuatilia mtanange

1 comment:

Anonymous said...

Bahati yao hao! Subiri mechi ijayo