ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, April 29, 2015

HAWA ASEMA ANAUCHUKIA WIMBO WA NITAREJEA ALIOUFANYA NA DIAMOND.







Avumi lakini yumo msikilize Hawa alietamba kwenye wimbo wa nitarejea wa Diamond.

3 comments:

Anonymous said...

Dah inasikitisha sana pole sana Hawa ipo siku utatoka tu. ...

Anonymous said...

Love this woman. Diamond kama hukumpa kitu please muda ndo huu remember this woman alifanya vizuri ule mwimbo ulikujengea mapenzi hadi watoto walikuwa touched na ukawa famous. PLEASE HELP THIS WOMAN!

Anonymous said...

hawa astaghfirullah wewe kweli mtoto wakiislamu kweli wewe?inakuwaje umeimba nyimbo ya gospel,inamaana una amini mungu kafa msalabani na wewe muislamu?

rudi kwa mola wako kama kweli wewe muislamu hawa.

usikubali kudanganyika kirahisi rahisi hivyo. umekata hujabadilisha dini but inaonyesha umebadilisha.