Advertisements

Saturday, April 25, 2015

HII NDIO DAR ES SALAAM

 Baadhi ya watu wakiendelea kutupa taka mahari ambapo hairuhusiwi kutupa taka na istoshe kuna kibao kimeandikwa kuwa usitupe taka lakini cha kushangaza watu wanaendelea kutupa taka pembezoni mwa barabara inayoelekea TRA ya mwenge jijini Dar.
Hii ndio hali halisi ya eneo hilo

1 comment:

Anonymous said...

Sasa ipitishwe sheria atakayekamatwa akitupa taka mahali hapo ni jela miezi mitatu hakuna cha masalia mtume