ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, April 29, 2015

Hotuba ya Mzee Mwinyi alipokutana na waZanzibar Washington DC

4 comments:

Anonymous said...

This is really disturbing. Hivi hawa Wazanzibari wanafikiria nini? If ingekuwa na sisi tumeitisha mkutano tukasema mkutano wa Tanzania Bara na Rais Kikwete wangeandamana to ikulu. This is not right. Tukiendeleza huu ubara na uzanzibari tutakuwa hatufiki popote.

Anonymous said...

Mimi binafsi nimeshangaa kuwa na Ubalozi una entertain mambo haya. Nimeona hata michezo siku ya muungano badala ya kucheza na timu za nchi nyingine eti watu wanacheza Zanzibar na Tanzania Bara?

This is ridiculousness and Shamefully to the Tanzania embassy for entertaining such 'non sense' unnecessarily division.Tanzania Embassy should encourage unity among Tanzanians as one and strong country and not a division.

Luka ukitaka minyia tu hii comment maana siku hizi umekuwa kama Michuzi wewe.

Anonymous said...

I am 100% in agreement with the above two commentaries. Not only was wrong for the Embassy to send representatives to the so-called "Wazanzibari dinner" in Langley Park, it is equally wrong for the former president to accept such a divisive dinner invitation in the first place. What message does this send to groups which want to secede from the Union?

Anonymous said...

Wadau mliotangulia kutoa maoni tunaelewa vizuri sana hasira na kukwazika kwenu lakini ukweli ndio huo. Muungano kama ulivyo sasa hivi unalazimishwa tu na CCM ili kulinda maslahi ya tabaka tawala. Mapendekezo yaliyokuwemo katika Rasimu ya Katiba mpya ya mzee Warioba yalikuwa yamelenga kuhuisha uendane na ukweli. Tunaishi kinafikinafiki na huo ndio utamadani uliotamalaki miongoni mwa Wazanzibari na Watanganyika. Si jambo la afya kwa jamii nzima.