ANGALIA LIVE NEWS

Friday, April 10, 2015

Kajala Atamani Kumlipa Wema Mil.13 Zake



Staa mrembo wa Bongo Movies, Kajala Masanja kwa mara ya kwanza ameibuka na kutoa ya moyoni kuwa anatamani kulipa shilingi milioni 13 alizolipiwa na staa mwenzake Wema Sepetu kama faini ili asiende jela miaka saba.
Akizungumza na gazeti la Amani, Kajala alisema kuwa huwa anaumia sana kila anapokumbuka kuwa alipewa kiasi hicho chapesa ingawa uwezo wa kulipa anao.

“Huwa nateseka sana kila ninapokumbuka kuwa nilitolewa 13 japokuwa naaamini alitoka kwa mmoja,kinachoniuma muhusika anaiongelea kila siku tena kwa mabaya,” alisema Kajala

5 comments:

Anonymous said...

Sasa kama uwezo wa kulipa unao si ulipe pesa zake ili uwe na amani,ooh uwezo wa kumlipa ninao ila simlipi sababu alinipa toja moyoni acha maneno fanya vitendo.Huwezi kulipa kaa kimya.

Anonymous said...

Kama alivyosema comment namba 1.dada wema alikufanyia huruma akakusaidia kwa moyo wa utu akalipa million 13 ili kukunusuru usiende jela basi mtumishi wa Mungu rudisha pesa hizo.

Anonymous said...

Kama unaitaka amani ya moyo wako lipa tena haraka sana ikiwezekana ! Baada ya hapo ukisikia maneno ndio kwanza una fungua kinywaji baridi chakushushia ! Ila kama huna uwezo wakulipa , iwe unazo lakini hutaki kutoa unazionea ubahili au huna pesa , hapo ukisikia kasema hili au lile wewe kaakimya tu ! Vumilia mitusi mpaka atakapo nyamaza ! Yatima hadeki !

Unknown said...

Umlipe na muda wake alioutumia kuja kukutetea na kukutoa katika majanga when you needed the most. Pay with interest and go on with your life. Be grateful she was there for you and had the money when you needed on the spot. Mara baada ya majanga kukupata, kiukweli Wema ndiye aliyekuwezesha ukaweza kuendelea na usanii. Ungeenda jela usingekuwa nazo.

Anonymous said...

We dada tena bora unyamaze kabisa,yaani umsaliti mwenzako halafu unataka akuongelee mazuri??huna hela ya kulipa wala nn we kaa kimya mtu,huna hata utu wewe.;akuchukiaaa wewe kwa kitendo tu ulichomfanyia my dear wemaaa.Shut your mouth n go to hell.