ANGALIA LIVE NEWS

Friday, April 10, 2015

GWAJIMA ANALO SASA SERIKALI KUTAKA KUJUA NINI TOFAUTI YA YELLOW NA ORANGE

Dola ni Habari Nyingine,Gwajima DOLA imemfikia,hawana papara,wanakwenda naye taratibu.

4 comments:

Anonymous said...

AMA KWELI ANALO MZEE HUYU

Anonymous said...

AMA KWELI MZEE ANALO

Anonymous said...

MTOTO AKILILIA WEMBE........

Anonymous said...

Return za kanisa za kila mwaka ,ni jambo ambalo lingekuwa linafanyika hata afrika ,naona Ulaya na Amerika kila mwaka wanaonyesha hela uliyotoa kanisana na ku file kwa revenue au kwa nyumbani TRA,SHIDA ni mifumo yetu ,hata kama ipo ,haifanyi kazi,tuna safari ndefu sana,ila tutafika miaka 50 Ya uhuru bado,tumejitahidi ,shida utawala wa sheria ndio umeamka kutoka usingizini,,vijana ndio watabadilisha Tanzania yetu na wazee wenye kutaka mabadiliko.