ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, April 11, 2015

KAULI YA WEMA YALIZA WENGI. Aweka wazi kuwa hawezi kupata mtoto.


Kumbukeni na mimi pia ni binaadam... Nina moyo kama nyie... Au mnadhani napenda kuona wenzangu wana watoto au wana ujauzito alafu mimi sina hata wa kusingiziwa... Mnaona nafurahia sio.... Hivi mna nini jamani... Yaani mtu unaweza weka post kwa nia nzuri then people jus come from nowea wanaanza kukuandikia maneno ya kukuumiza kabisa nafsi hadi mtu unakaa unajiuliza umemkosea nini mwenyezi Mungu...
Kwani kuna niliemkosea yoyote mpaka muanze tu kunikashif na kunitolea maneno mazito namna hio... Kisa mtoto... Mnadhani naipenda hii hali... Hata mimi natamani kuitwa mama na hakuna kinachoniuma kama hicho.... So mnadhani sijui kama umri unaenda na maisha yenyewe sikuhizi mafupi anytime we die... Mnafikiria nisingependa kuacha hata ka copy kangu siku ndo Mungu anasema ananichukua...

Hata mimi natamani ningekuwa napiga picha niko na mwanangu... I want dat with all my life but I cant.... Sitokaa nimkufuru Mungu wangu hata siku moja maana sijui ni kitu gani kaniandikia... But just dont rub it in... It hurts... And im jus a human being like each and every one of u...."-Wema ameandika.

Wema Sepetu ni mwigizaji staa wa Tanzania hakuna asiejua, Wema Sepetu ni Miss Tanzania 2006 na ni miongoni mwa mastaa wenye ushawishi mkubwa kwenye mitandao ya kijamii, hakuna asiejua…… ila tatizo linalomsumbua kwa sasa inawezekana kuna wengi wasiolijua.

Amekua akisumbuliwa na tatizo la kutoweza kushika ujauzito ambapo baada ya ukimya mwingi, Wema ameamua kuongea yafuatayo kwa wote wanaombeza kutokana na tatizo lenyewe.

Amesema >>> ‘Ningekuwa na uwezo wa kuzaa ningekuwa nimezaa muda mrefu sana… But sina… Na siwezi kumkufuru mwenyezi mungu…. Au mngependa niwe nawaambia jinsi ninavyo hangaika usiku na mchana kupata mtoto wangu mwenyewe… Is dat wat u want…? kila ntakachofanya kwa ajili ya tumbo langu basi nitangaze… Au mnadhani siumii mnavyosema kuhusu maswala ya mtoto‘

Sentensi ya pili >>> ‘Kumbukeni na mimi pia ni binaadam… nina moyo kama nyie… au mnadhani napenda kuona wenzangu wana watoto au wana ujauzito alafu mimi sina hata wa kusingiziwa… mnaona nafurahia sio…. hivi mna nini jamani… yaani mtu unaweza weka post kwa nia nzuri then people jus come from nowea wanaanza kukuandikia maneno ya kukuumiza kabisa nafsi hadi mtu unakaa unajiuliza umemkosea nini mwenyezi Mungu‘

‘Kwani kuna niliemkosea yoyote mpaka muanze tu kunikashif na kunitolea maneno mazito namna hio… Kisa mtoto… mnadhani naipenda hii hali… hata mimi natamani kuitwa mama na hakuna kinachoniuma kama hicho…. So mnadhani sijui kama umri unaenda na maisha yenyewe sikuhizi mafupi anytime we die… Mnafikiria nisingependa kuacha hata ka copy kangu siku ndo Mungu anasema ananichukua’

‘Hata mimi natamani ningekuwa napiga picha niko na mwanangu… I want dat with all my life but I cant…. Sitokaa nimkufuru Mungu wangu hata siku moja maana sijui ni kitu gani kaniandikia… But just dont rub it in… It hurts… And im jus a human being like each and everyone of u….

6 comments:

Unknown said...

Wema pole jamani. I invite you to come to USA. We will find fertility clinic na madaktari biingwa watakusaidia dada usiwe na wasiwasi. Palipo na nia pana njia.

Mimi ninakupenda maka dada yangu.

Anonymous said...

wema njo Canada nita ku host mimi ni mwanamke nafahamu kabisa watu wmezaa sidhani kama tatizo lako ni sugu sana kama sivyo nenda usa si unadada zako kule basi wakupeleke infertility clinic.pia watu waache hizo bwana kaaa kiukweli wamesikia yatakayowarudia wao wewe hmo.timu wema canada

Anonymous said...

My dear wema usijali Mungu atakipatia wakati ukofila,watu wamekaa miaka10 twna kwenye ndoa ndio Munhi akawafunguloa kizazi,hibuo uaijali mpenzi.

Anonymous said...

POLE KAMA UMELOGWA ,HATA UFANYE NINI MPAKA ,UMRUDIE .MUNGU,UKILOGWA UKIJA KWAMABNGWA WANAKUAMBIA ,UKO SAWA ,UKIPANDIKIZA ,INATOKA ,OGOPA WATU,BONGO WACHAWI WENGI NI SHIDAA ,NI KUMUOMBA TU MUNGU ,NA MRUDIE MUNGU,,

Anonymous said...

Yamemrudia mwenyewe'eti mimba my foot' alivyomkejeli mwenzie alitegemea nini aende zake mayai yake keshakaangia chips au kasahau 'safari hii sitofanya makosa kama nilivyofanya kwa marehem kanumba so it means aliipata ila akaitoa pole bibie laana ya kanumba hiyo na plastic surger yako ya mwili hauna hata mvuto

Anonymous said...

Mungu atakupatia mtoto Wema, Muda wake ukifika. Husichoke kumlilia Mungu anasikiliza maumivu yetu na anakujua kabla hujasema ila anataka ufungue kinywa chako na umuombe kwa imani. Atakupatia sio tu mtoto bali watoto.