ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, April 26, 2015

KISOMO KILICHOSOMWA MARYLAND USA KUMUOMBEA BABA MPENDWA WA KAKA YETU ALI MUSSA MIKIDADI

Kisomo cha kumuombea dua marehemu Mussa Mikidadi baba wa ndugu yetu Ali Mussa Mikidadi kilifanyika jana jumamosi Hyattsville Marylam
Ali Mussa akiwa katika kisomo cha mpendwa baba yake kikiendelea kusomwa na ustadh ambae hayupo pichani 
Ustadh Ibrahim akiongoza kisomo siku ya jana jumamosi kumuombea baba yetu mpendwa pamoja na watu wengine walioshiriki katika kisomo hicho
Ali Mussa akiwa mmoja walioongoza kisomo cha kumumbea dua marehemu baba yakekilichofanyika jana JumamosiAger road Hyattsville Marylam
Ustadh Malik kama kawaida yake akiongoza kisoma kilichorudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki kutoka sehemu mbali mbali 
Ndugu< jamaa na marafiki pichani na wasiokuwepo pichani kama kwaida yetu, mila na desturi yetu, walifika kushiriki katika kisomo cha kumuombea marehemu, mungu amrehemu na amsamehe madhambi yake ,AMIN


















Shef Abdul akiwa anafanya vitu vyake kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa na ndivyo ilivyokuwa

No comments: