ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, April 11, 2015

LULU MICHAEL Agoma kumtaja BABA wa Mimba yake ...Kisa Kuogopa KUROGWA

\
lizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa anaogopa wachawi kumtaja mhusika wa mimba aliyonayo.
Lulu alifunguka hayo juzikati wakati mwanahabari wetu alipotaka kujua mhusika wa mzigo alionao ndipo msanii huyo aliposema aachwe kwanza maana wachawi ni wengi.“Mh! Naomba mniache kwanza maana mjini hapa wachawi ni wengi, mambo yakiwa freshi kila mmoja atamjua,” alisema Lulu.

1 comment:

Anonymous said...

Ni kweli .mdogo wangu bongo ni shidaa wachawi,wengi ,