Advertisements

Saturday, April 18, 2015

Marudio yaReggae Time ya Pride FM.......uRASTA (Aprili 18, 2015)

Rasta photo Rasta.gif
Photo Credits: Syatherley's Bucket
Kipindi cha REGGAE TIME kutoka Pride Fm Mtwara Tanzania hutayarishwa na kutangazwa na Mubelwa Bandio
Husikika kila Jumamosi kuanzia saa tisa kamili alasiri kwa saa za Afrika Mashariki Radio hii yasikika duniani kote kupitia tovuti www.878pridefm.com na kwa walio Marekani na Canada wanaweza kuisikiliza kwa kupiga namba 832 280 0658

No comments: