Advertisements

Friday, April 24, 2015

MH SAMIA SULUHU AZINDUA MAONESHO YA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR

bl4 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano, Mh. Samia Saluhu (katikati), akizindua maonesho ya Maadhimisho ya Miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa na Nyumba ya Utamaduni, jijini Dar es Salaam leo. (Picha na OMR)
bl5
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano, Mh. Samia Suluhu, akihutubia katika Uzinduzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya Miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar katika ukukmbi wa Makumbusho ya Taifa na Nyumba ya Utamaduni, jijini Dar es Salaam leo . 

bl6
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano, ambaye pia ni Mgeni Rasmi katika Uzinduzi wa maonesho ya Maadhimisho ya Miaka 51 ya Muungano, Mh. Samia Suluhu, akisoma baadhi ya vitabu ndani ya Makumbusho ya Taifa na Nyumba ya Utamaduni, jijini Dar es Salaam leo. 
bl7 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano, ambaye pia ni Mgeni Rasmi katika Uzinduzi wa Maadhimisho ya Miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Mh. Samia Suluhu (wa pili kushoto), akiuliza jambo kwa Mhifadhi Mwandamizi wa Makumbusho hayo,Bwana Achile Mbufule (wa kwanza kushoto), jijini Dar es Salaam leo.

No comments: