ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, April 19, 2015

MISA YA SHUKURANI JUMAPILI DMV

Ukiwa kama ndugu, rafiki na jamaa wa karibu wa Michael Kiangio napenda kukufahamisha kuwa ndugu yetu, mpendwa wetu na rafiki yetu alipoteza baba yake mzazi last month nyumbani Tanzania.


Tunakukaribisha ushiriki nasi kwenye Misa ya shukrani ya kumuombea baba wa Michael itakayofanyika tarehe 19th April katika kanisa la The way of cross gospel ministry from 2 pm to4pm. address 
405 Riggs rd NE 
Washington DC.

for more information call me at 443-636-1782Thanks.

No comments: