Familia ya Mac Damas wa Stewart Lane,White Oak Silver Spring Maryland,wanasikitika kutangaza kifo cha kaka yake kilichotokea leo ghafla usingizini nyumbani Tanzania,mazishi yatafanyika Alhamis Morogoro,Tanzania.Mac anatarajia kusafiri jioni ya leo kujumuika na familia kwa mazishi,Raha ya milele umpe eh Bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani,Amina.2406157402
No comments:
Post a Comment