Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) akimkaribisha Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered nchini Bi. Liz Lloyd alipomtembelea Wizarani kwa ajili ya mazungumzo na Mhe. Maalim.
Mhe. Maalim akimtambulisha kwa Bi. Llyoid Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Simba Yahya.
Mhe. Dkt. Maalim akizungumza na Bi. Lloyd
Bi. Lloyd nae alipata wasaa wa kuchangia hoja wakati wa mazungumzo na Dkt. Maalim
Balozi Yahya (kushoto) akiwa na Katibu wa Naibu Waziri Bw. Adam Isara wakisikiliza mazungumzo kati ya Dkt. Maalim na Bi. Lloyd (hawapo pichani)
Mazungumzo yakiendelea.
Picha na Reginald Kisaka.
No comments:
Post a Comment