Oswald na Susan wakivalisha pete ya ndoa mbele ya mchungaji wa kanisa la St Peter's Catholic Birmingham. AL na baada ya hapo kulifuatiwa na sherehe ndani ya St Peter's Reception Hall, Oswald na Susan walijumuhika na ndugu pamoja marafiki kusheherekea siku hii muhimu katika maisha yao.
Hapa ni mzazi wa Bibi harusi wakiingia kanisani
Watoto wakiwa kwenye sale maalum wakiingia kanisani hapo
Hawa watoto nao walikuwa kivutio kanisani hapo jinsi walivyokuwa wamependeza, kwa picha zaidi za kanisani hapo jitiririshe hapa chini kwa kuingia soma zaidi.
MC. wa shughuli hii kutoka Washington Bwana Sunday Shomary kushoto akiwa tayari kishafika. MC huyu ni maarufu sana na alitumiwa Private Jet kuja kuwa MC katika harusi hii.
Mchungaji akiwa yupo tayari kwa shughuli hiyo
1 comment:
wow! very nice. Mmependeza sana. Gauni la bi harusi na suti ya bwa harusi nzuriiiiiiiiiiiiii.
Mungu awabariki
Post a Comment