PANDE ZA BRONX NEW YORK KWENYE BIRTHDAY YA CHIEF JAMES
Birthday boy Chief James akitoa shukrani zake kwa marafiki waliojitokeza kwenye birthday yake aliyofanyia siku ya jumamosi nyumbani kwake Bronx New York.
Gaston akiongea kwa niaba ya birthday boy pembeni akisikiliza kwa taswira zaidi jitiririshe chini.
No comments:
Post a Comment