Mtoto Kalikwela Basingo wa Wichita jimbo la Kansas akifanya usafi nyumbani kwao wakati wakiwa vekesheni Bongo kama alivyokutwa na kamera ya Vijimambo
Kalikwela Basingo akihakikisha mpaka sisimizi amefagia
Kalikwela akitabaruku akiwa na mdogo wake mara tu baada ya kumaliza kufagia asubuhi na mapema.
Edward Basingo na familia yake wakiwa wametembelea mbuga za wanyama.
Edward Basingo mkaazi wa Wichita jimbo la Kansas akiwa ufukweni akipata hewa ya bahari.
Mama mwenye nyumba akiwaonesha watoto michezo
1 comment:
mwanamke kanga eeeh...nice one
Post a Comment