Advertisements

Wednesday, April 1, 2015

RAIS KIKWETE AHUTUBIA UMOJA W MATAIFA KATIKA MKUTANO WA KUPATA MAENDELEO ENDELEVU KWA KUKUZA AJIRA NA KAZI ZA UTU

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano unaozungumzia jinsi ya kupata Maendeleo endelevu kwa kukuza ajira na kazi zenye utu (Achieving sustainable development through employment creation and decent work) tarehe 30 Aprili, 2015 katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) jijini New York, Marekani.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye ufunguzi wa Mkutano unaozungumzia jinsi ya kupata Maendeleo endelevu kwa kukuza ajira na kazi zenye utu (Achieving sustainable development through employment creation and decent work) tarehe 30 Aprili, 2015 katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) jijini New York, Marekani.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakiondoka baada ya yeye kuhutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano unaozungumzia jinsi ya kupata Maendeleo endelevu kwa kukuza ajira na kazi zenye utu (Achieving sustainable development through employment creation and decent work) tarehe 30 Aprili, 2015 katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) jijini New York, Marekani. 

PICHA NA IKULU

2 comments:

Anonymous said...

tarehe 30 April 2015???? Mwandishi kakosea? Najua binadamu tunakosea but mwandishi wa RAIS ANATAKIWA AWE EXTRA CAREFUL kabla ya kuturushia habari wananchi! ni hayo tu

Anonymous said...

Hivi do we really think Rais hana moments of being a human being? Please, naye pia ni Binadamu kama sisi wote. Na inaonyesha kwamba hapo kama anavypopendelea anatembea sio kila mara misafara. Isn't that a matter of pride for our president. Ukiwa Rais huoachi u binadamu as he has so often proven.