ANGALIA LIVE NEWS

Friday, April 10, 2015

Rais Kikwete apokea Ripoti ya Operesheni Tokomeza

Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi kuhusu operesheni tokomeza Jaji(Mstaafu) Balozi Hamisi Amiri Msumi akimkabithi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Ripoti ya Uchunguzi wa Tume hiyo katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo.Rais Kikwete aliiteua tume hiyo mwaka jana kuchunguza tuhuma za uvunjifu wa sheria katika utekelezaji wa operesheni hiyo
Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Tume ya Uchunguzi wa operesheni Tokomomeza ikulu leo.

(picha na Freddy Maro.

2 comments:

Anonymous said...

Ushauri wa bure kwa wapiga kura Ikulu. Rais anapopiga picha kama hizi hao wasiohusika huko nyuma muwatoe

Anonymous said...

How much did the report cost? Au ndio changa la macho kwamba fueza sio msingi wa maendeleo?