Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-ughaibuni yenye makao yake nchini ujerumani inawatakia kila la heri watanzania wote walio nyumbani na nje ,Heri ba na baraka, Amani,Mshikamano na Upendo katika maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliozaa Jamuhuri yetu ya muungano wa Tanzania.
Tudumishe Muungano wetu daima millele.
Mungu Ibaraki Tanzania
sherekea muungano kwa muziki at www.ngoma-africa.com
No comments:
Post a Comment