Advertisements

Sunday, April 12, 2015

SHEREHE YA HARUSI YA OSWALD NA SUSAN

Oswald na Susan wakiwa kwenye sherehe ya harusi yao iliyofanyika kwenye ukumbi wa kanisa katoliki la Mt. Peter lililopo Burmingham, Alabama siku ya Jumamosi April 11, 2015.
Maharusi na wapambe wao wakiwa meza kuu.
Wasimamizi wa maharusi wakijipanga kuwapokea Oswald na Susan wakati walipokua wakiingia ukumbini.
 Wasimamizi wakiwa tayari kuwapokea maharusi.
 Wapambe wa maharusi wakiingia ukumbini.
 Maharusi wakiingia kwa staili ya ghari, ghari.
 Maharusi wakifanya vitu vyao.
 Ni cherekuchereku kwa kweda mbele.
kwa picha kibao bofya soma zaidi

 

1 comment:

Anonymous said...

Hongereni sana. Mmependeza. Mwenyezi Mungua ailinde ndoa yenu. Amen