STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond' jana ametupia picha hii mitandaoni akihakiki tiketi kwa ajili ya shoo ya mpenzi wake Zarinah Hassan 'Zari' ya ZARI ALL WHITE PARTY itakayofanyika Ijumaa ya Mei 1, mwaka huu kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar.
Kwenye shoo hiyo ya Zari, watu mbalimbali mashuhuri wanatarajiwa kuhudhuria akiwemo dairekta mkubwa Afrika, Godfather wa Afrika Kusini na Top Ten ya Washiriki wa Shindano la Big Brother ‘Hot Shot’ 2014.
Staa huyo aliisindikiza picha hiyo kwa maneno haya:
"Sio kwa kiingilio hiki cha kuanzia Elf 50 hadi Milioni 3 eti nikajifanya naleta Uboss ... Mzigo Nausimamia mwenyeweee!!! Kushoto Manager @salaam_sk katikati nna @juju_utamu huku @queendarleen4real halaf kwambaaaaaali Mtoto katulia zake Anachat chat!... HAYA WALE WA ELFU HAMSINI NA WA LAKI KESHO NTAWATAJIA VITUO ZITAPOPATIKANA TICKET!!! #ZARIALLWHITEPARTY Friday May 1st 2015 Mlimani City Dar!!"

1 comment:
ulibukeni huu maskini akipata nini hulia mbwata?
eti wale wa elfu hamsini na laki,ameshau alipotoka yeye,alivyokuwa anaokota makopo na vuma?mmlo mmoja tena akiukosa analala na njaa.
kweli maskini akipata anajisahau alipotoka.
hakuna aliyezaliwa nazo usidharau wa laki na elfu hamsini wewe nyaau.
Post a Comment