Wanafunzi wa Takoma Park Middle School iliyopo jimbo la Maryland juzi kati wanafuzi walifundishwa utamaduni wa Kitanzania ikiwemo mavazi na ngoma ya asili ya Kimasai, pamoja na kuilezea jukwaani kuhusu Tanzania na kabila la Kimasai baadae walicheza kanda ya nyimbo ya Kimasai na wanafunzi kucheza kwa kuruka ruka juu kama Wamasai
Wanafunzi wa Takoma Park Middle school jimbo la Maryland wakionyesha vinyago na nguo za vitenge kutoka Tanzania
Wanafunzi wakiwa kwenye maonesho ya utamaduni wa Tanzania
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
1 comment:
The mdudu, mungu awalinde hawa wanafunzi pamoja na warimu wao na uongozi mzima wa hiyo shule Tanzania yetu ni hot keki ila viongozi wetu ndio ovyo kabisa mungu ilinde Tanzania yetu na wape ugonjwa usio na tiba kwa kiongozi yoyote asie itakia mema Tanzania yetu pendwa
Post a Comment