Spika akiwa katika ziara ya maeneo kadhaa ya kiteknolojia katika kampuni
ya Huawei.Spika yuko nchini China kwa ziara ya namba ya kulifanya Bunge
la Tanzania kuendeshwa kiteknolojia zaidi
Mtaalam wa kampuni ya Huawei akitoa maelezo ya masuluhisho kadhaa ya Bunge Mtandao (e-parliament solutions) kwa Mhe Spika na ujumbe wake.
Mhe Spika Anne Makinda akizungumza na Makamu wa Rais wa Kampuni ya
Huawei, Li Dafeng kuhusu mambo kadhaa ya kiteknolojia ya Kibunge ambayo
hufanywa na kampuni hiyo duniani.
Spika akimkabidhi Makamu wa Rais wa kampuni ya Huawei,Li Dafeng zawadi ya picha ya kuchora ya jengo la Bunge. Picha zote na Saidi Yakubu wa Ofisi ya Bunge.
No comments:
Post a Comment