Familia ya Marehemu Freddrick Nicholaus Kaaya wa
Mikocheni Dar es Salaam, wanasikitika
kutangaza kifo cha mama yao mpendwa Flora Kaaya kilichotokea 11/04/2015 katika
Hospitali ya TMJ.
Mwili wa Marehemu utaagwa nyumbani kwake
Mikocheni siku ya jumatano Aprili 15,2015 kuanzia saa 4 asubuhi.
Mazishi yatafanyika kijiji cha Akheri –Arumeru,
Arusha suku ya Alhamisi Aprili 16,2015 saa 4 Asubuhi.
BWANA AMETOA NA BWANA
AMETWAA, JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.

No comments:
Post a Comment