ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, April 25, 2015

TANZANIA BARA YAKUBALI KIPIGO CHA GOLI 7-1 KUTOKA ZANZIBAR HEROES WADAI WAMEFUNGWA KUIMARISHA MUUNGANO

Mgeni rasmi Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na refa Mohammed kutoka Misri alipokua mgeni rasmi kwenye mechi ya Muungano kati Zanzibar Heroes walipoiadhibu timu ya Bara kwa bao 7-1 mechi iliyochezewa Capitol Heights, Maryland siku ya Jumamosi April 25, 2015 katika kuadhimisha miaka 51 ya sherehe ya Muungano zilizodhaminiwa na PBZ
Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na nahodha wa timu ya Zanzibar Heroes Dedi Luba.
Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na nahodha wa timu ya Tanzania Bara Mude.
Timu ya Zanzibar
 Timu ya Tanzania Bara
 Mchezaji Dullah wa Zanzibar Heroes akitunukiwa nishani ya mchezaji bora wa mechi na katibu mkuu wa Rais mstaafu Bwn. Abdallah Makame  baada ya kufunga goli tatu kati ya 7 walizoshinda timu ya Zanzibar Heroes

Katibu Mkuu wa Rais mstaafu Bwn. Abdallah Makame akimkabidhi nahodha wa timu ya Zanzibar Dedi Luba kombe baada ya kuibuka kidedea cha kuwababimza Tanzania bara goli 7-1.
Zanzibar wakisherehekea ushindi baada ya mpira kuisha
Picha kibao za BBQ na mechi baadae

No comments: