
Mbunge wa Ubungo Mhe. Peter Mnyika akiongoza mkutano wa uzinduzi kanda ya kusini uliofanyika siku ya Jumapili April 12, 2015 katika uwanja wa Mashujaa.

Mkutano wa uzinduzi wa Kanda ya Kusini; mikoa ya Lindi na Mtwara, jana Jumapili Aprili 12, 2015; Uwanja wa Mashujaa.ambapo ulifanyika mkutano mkubwa wa hadhara na kuendeshwa na mbunge wa ubungoi mh John Mnyika.

Wananchi wakimsikiliza Mhe. John Myika kwenye mkutano wa uzinduzi wa kanda ya kusini uliofanyika siku ya Jumapili April 12, 2015 katika uwanja wa Mashujaa.
No comments:
Post a Comment