ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, May 10, 2015

USIKOSE!!! Tamasha la Uimbaji - Watoto toka Uganda - Mei 12, 2015 Saa Moja Kamili Jioni

Tamasha la Uimbaji!
Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio (IYK)
Na Mchungaji Ipyana Mwakabonga
inawakaribisha wote kupata Baraka za Watoto Kwaya toka Uganda! 
Karibu na Mkaribishe Rafiki!!

Kuhusu Watoto Choir,
Watoto ni mpango kamilifu wa huduma ambao ulianzishwa ili kukabiliana na idadi kubwa ya watoto yatima na    wanaoishi katika mazingira magumu nchini Uganda, ambaomaisha yao yamekabiliwa na vita na magonjwa mbalimbaliTembelea tovuti ya Watoto : www.watoto.com
 
Kwa Taarifa zaidi wasiliana na Ibada ya Kiswahili-Columbus Ohio
E-mail: ibadayakiswahili@gmail.com
Simu: 614-664-9564 or 614-66IYK-OH

 

www.iykcolumbus.org

No comments: