ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, May 10, 2015

SERIKALI YATOA TAARIFA YA TUME KUKAMILISHA KAZI YA UCHUNGUZI DHIDI YA MASWI KUHUSIKA NA SAKATA LA ESCROW NA ILE YA OPERESHENI TOKOMEZA


Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kushoto) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati alipokuwa akisoma taarifa ya kukamilika kwa uchunguzi dhidi ya aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Eliakimu Maswi kuhusu kuhusika kwake na kashfa ya Escrow na ile ya tume ya uchunguzi wa malalamiko yaliyotokana na utekelezaji wa operesheni tokomeza mapema hii leo jijini Dar es Salaam , kulia niMwandishi wa Habari Msaidizi wa Rais Bi. Premi Kibanga.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimfuatilia kwa makini Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue wakati akisoma taarifa ya kukamilika kwa uchunguzi dhidi ya aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Eliakimu Maswi kuhusu kuhusika kwake na kashfa ya Escrow na ile ya tume ya uchunguzi wa malalamiko yaliyotokana na utekelezaji wa operesheni tokomeza. Picha zote na Eliphace Marwa - MAELEZO.

1 comment:

Anonymous said...

Hivi sisi tumelogwa au ni laana? Where is the report? Hakuna aliyekuambia utusomee, just iweke online ili watu waone madubwasha yanayofanywa na serikali na sisi kama wananchi ndio wenye kuamua kama kiongozi amesafishwa au laa. Otherwise, hii bla bla itatupeleka pabaya.