kushoto ni Mariam akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Japan Mhe Salome Sijaona kwenye sherehe ya Muungano na kumuaga Balozi huyo iliyofanyika siku ya Jumapili April 26, 2015 katika Ubalozi wa Tanzania nchini Japani uliopo Setagaya, Tokyo nchini humo.
Kushoto ni Zawadi Mwimbage na Moza wakiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Salome Sijaona Balozi wa Tanzania nchini Japan anayemaliza muda wake.
Fidea Kobayashi akiwa katika picha na Mhe. Balozi Salome Sijaona.
Mhe. Balozi Salome Sijaona katika picha ya pamoja na mume wake (kulia) akiwemo Mtanzania mmoja wapo waliohudhuria sherehe ya Muungano na kumuaga Mhe. Balozi huyo.
Abbas Mussa akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Balozi Salome Sijaona.
Wakati wakimzawadia Mhe. Balozi.
Wakati wa zawadi kwa Balozi.
Picha zote na Mariam mwakilishi wa Vijimambo Japan
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
No comments:
Post a Comment