Waziri Kivuli wa Fedha, James Mbatia.
Waziri Kivuli wa Fedha, James Mbatia (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Ofisi Ndogo ya Bunge jijini Dar es Salaam leo, kuhusu kuporomoka kwa thamani ya shilingi ya Tanzania.
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.
Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakichukua taarifa hiyo.
(Imeandaliwa na mtandao wa http://www.habarizajamii.com/)
2 comments:
PICHA NDIO ZINAZUNGUMZA? MBONA HAKUNA MAELEZO AU AUDIO AKIELEZEA SABABU NA HATUA STAHIKI ZINAZOCHUKULIWA KUPAMBANA NA ANGUKO HILO?
Ndio, tungependa kusikia au kusoma hizo sababu zilizoangusha sarafu ya Tanzania.
Post a Comment