Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na washiriki wa Kongamano la
Takwimu barani Afrika baada ya kufungua mkutano wa kwenye Hoteli ya
Firaffe Ocean View jijini Dar es salaam. Kushoto kwake ni Mkurugenzi
wa Ofisi ya Takwimu ya Taifa, Dr. Albina Chuwa, kulia ni Irena Krizman
kutoka Slovenia na wapili kulia ni Pali Lehohla kutoka Afrika ya
kusini. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment