ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, May 20, 2015

ALLY SHARIF AKAMATO NONDO CHUO KIKUU CHA VIRGINIA MASHARIBI(WEST VIRGINIA UNIVERSITY)

Ally Sharif akipata picha baada ya kukumata nondo katika chuo kikuu cha West Virginia siku ya Jumapili May 17, 2015.
Ally Sharif akipata picha na baba yake.
Ally akiwa amebebwa na dada yake Lilian
Ally akiwa na Aunty Aisha na Bibi Rose.
Ally na dada yake Lilian.
Ally na baba na mama.
Kwa picha zaidi bofya soma zidi

No comments: