ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 11, 2015

ANNA MAKOYE AKAMATA NONDOOZ

 Anna Makoye akiwa na mumewe bwana Dotto Mallongo wakipata picha ya pamoja mara baada ya mahafali ya 10 ya chuo kikuu cha kimataifa cha Virginia(Virginia international University) kilichopo Fairfax siku ya Jumapili May 10, 2015. Anna Makoye amekamata Nondo ya Masters of Business Administration in human resources. 
Kutoka kushoto ni dada raia wa Nigeria, professor Victoria Ashiru, Anna Makoye na Dotto Mallongo, wakiwa katika picha ya pamoja katika mahafali ya 10 ya Virginia international University.
kushoto ni Anna Makoye, Dean wa school of business na Rehema Waziri Musa Sanga. Anna Makoye na Rehema Sanga wametunukiwa Masters of Business Administration katika chuo cha Virginia international University kilichopo Fairfax, Marekani.
Anna Makoye kulia na Rehema Waziri Musa Sanga wakiwa na professor Huber katika mahafali ya 10 ya Virginia international University huko Fairfax, Marekani
Kulia ni Hassan Jaffar kutoka Atlanta, Georgia akiwa pamoja na Dotto Mallongo wakimpongeza Anna Makoye ambaye ni mama mwenye nyumba wa Dotto Mallongo katika mahafali ya 10 ya Virginia international University kilichopo Fairfax, Marekani
Anna Makoye na Dotto Mallongo wakipata picha ya pamoja na rafiki yao   Ahmed Chande  kutoka Dallas, Texas  kwenye mahafali ya 10 ya Virginia international University kilichopo Fairfax, Marekani

1 comment:

Anonymous said...

Congrats Anna, good job Dotto kwa kumtengenezea mazingira mazuri ng'wanisale