Simwingine ni yule alienunua kijiji kizima kule Mtwara na kujenga kiwanda cha cement na bandari ya kwake mwenyewe. Sasa aigeukia timu ya Arsenal ya Uingereza kutaka kuinunua, Aliko Dangote ni billionaire mwafrica kutoka Nigeria ana pesa na anaouwezo wa kuikopesha serikali moja wapo ndani ya Bara la Africa na hata nchi masikini ya Ulaya.
kama Kikristo kina panda jitiririshe hapa chini.
No comments:
Post a Comment