Advertisements

Monday, May 18, 2015

Habari kuhusu Tanzania, iliyovutia wasikilizaji wengi hapa Marekani

Photo Credits: The Center for Global Development via NPR
Leo asubuhi kwenye kipindi cha MORNING EDITION kinachotayarishwa na kutangazwa na kituo cha Radio ya Jamii hapa Marekani (NPR), kulikuwa na habari kuhusu Tanzania. Na kwa mujibu wa maoni ya wasikilizaji kwenye tovuti yao, habari hii imeonekana kupata pongezi nyingi juu ya kile kinachoendelea huko.
Hii ni INTRO ya habari hiyo, na kisha, isikilize.
"The United States may have something to learn from Africa about democracy. People in Tanzania zeroed in on a problem with political polling. Pollsters commonly ask people questions about issues they know little or nothing about. Some people are so disengaged that if pollsters give just a tiny scrap of information as part of the question, that can change the answer. Leaders in Tanzania found out what happens when you first give people a lot of information before you poll them. Here's NPR's Nurith Aizenman."

No comments: