ANGALIA LIVE NEWS

Friday, May 22, 2015

HASSAN MAAJAR TRUST DESK HAND-OVER EVENT IN SHINYANGA SPONSORED BY TIGO

Mgeni rasmi katibu tawala mkoa wa Shinyanga Projestus Rutabanzibwa(watatu kushoto) kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa Shinyanga akijiandaa kukata utepe wakati wa hafla la kukabidhi madawati 600
Wote wakisherekea baada ya kukata utepe
Baadhi ya madawati 600 yaliokabidhiwa na Tigo pamoja na HMT mkoa wa shinyanga
Picha ya Pamoja
Kushoto(Mgeni rasmi katibu tawala mkoa wa Shinyanga Projestus Rutabanzibwa, makamu mwenyekiti wa Hassan Maajar Trust (HMT) Shariff Hassan Maajar, mkurugenzi wa kampuni ya Tigo kanda ya ziwa Ally Maswanya) wakifurahia jambo baada ya kukabidhi madawati hayo

No comments: