Advertisements

Monday, May 25, 2015

HONGERA SANA MAMA MATRIDA MKAMA KWA KUJINYAKULIA NONDO

 Hongera sana Mrs Matrida Mkama kwa kujinyakulia nondo hatari sana kwa pamoja tunakupongeza hureeeeeyyyy.
 Keki iliyoandaliwa kwa ubunifu wa hali ya juu kuendana na tukio husika.
 Mrs Matrida mkama akiwa na furaha na kuwashukuru wale wote waliojumuika nae na kufanikisha siku yake maalum.
 Dr Sweetbert Mkama akimpongeza mama mwenye nyumba wake kwani mafanikio yake ni mafanikio yetu sote.
 Edward Taji pamoja na Mariam Mkama waliweza kufika na kujumuika na mama Matrida Mkama.
 Wageni mbalimbali kutoka pande mbalimbali za dunia waliweza kuhudhuria pamoja na baba mdogo wa Matrida Mkama ,mwenye shati nyeusi aliweza kufika akitokea Tanzania.
Shangazi mpendwa nae alikuepo Mama Love Maganga akitokea Tanzania kwa ajili ya siku hii .
 







Kwa picha zaidi ungana nasi hivi punde.

2 comments:

Anonymous said...

faida ya kukaa marekani ndo hiyo ya kwenda shule kusoma siyo kuregezaa na kutepeta mdomo na kuuchonga kama samamki chuchunge kwa kusema ya wenzenu kila kukicha.

big up mama; you show them a good example.Mungu akubariki na degree yako na age does not matter huko kwenu majuu.

ukija bongo utakuja kukimbizana na na young blood huku kwa elimu.

Anonymous said...

Hongera sana Mama Mkama kwa kuhitimu masomo yako.