ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, May 31, 2015

HOTUBA YA MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA (Mb) KWENYE MKUTANO WAKUTANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS

Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa ahutubia wananchi kwenye Mkutano wa hadhara, wakati akitangaza nia yake ya kuwania Urais wa Awamu wa tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya CCM.

2 comments:

Anonymous said...

Fisadi papa lataka kwenda Ikulu.

Anonymous said...

NA HAO MAFISADI WALIOTAGWA KWENYE RIPOTI YA MKAGUZI WA SERIKALI WEWE NA RAIS WAKO MMEWAKALIA KIMYA KWA SABABU MNAHUSIKA. MWENDE MAKANISANI NA MISIKITINI KWANI HUYU BWANA AKISHINDA NAWAHAKIKISHIA KIMBEMBE MTAKIONA. YOU BETTER JOIN THE PARTY B4 IT IS TOO LATE!