Haya ni Baadhi tuu ya Maeneo Jijini Mbeya Mbeya yetu tulifanikiwa kupata Muonekano wa eneo hili la Jiji kama linavyo onekana Mkazi wa Jiji La Mbeya unaweza Kutambua Maeneo haya? huu ni mwanzo tuu usikose kuona picha zaidi ya Jiji letu la Mbeya Picha na Mbeya Yetu
1 comment:
Anonymous
said...
Safi sana mheshimiwa vijimambo, jiji linapendeza sana. THE EVERGREEN GARDEN CITY, Hongereni sana Mbeya. MUNGU awabariki sana.
1 comment:
Safi sana mheshimiwa vijimambo, jiji linapendeza sana. THE EVERGREEN GARDEN CITY, Hongereni sana Mbeya. MUNGU awabariki sana.
Post a Comment