Chakula cha msaada kwa ajili ya wananchi walio athirika na mafuriko wilaya ya Moshi vijijini kikushushwa katika ofisi ya mkuu wa wilaya kwa ajili ya kwenda kukabidhiwa kwa wahusika. |
Kada wa Chama cha Mapinduzi Ansi Mmasi
akikabidhi msaada wa Chakula kwa afisa tarafa,Eveline Mmary ambaye
alipokea msaada huo kwa niaba ya katibu tawala wa wilaya ya Moshi
. |
Afisa Tarafa wa Kilimanjaro akizungumza mara baada ya kupokea msaada wa chakula kwa ajili ya waathirika wa mafuriko katika eneo la TPC wilaya ya Moshi vijijini. |
Kada wa chama cha Mapinduzi Ansi Mmasi akizungumza mara baada ya kukabidhi msaada wa Chakula kwa ajili ya watu walioathirika na mafuriko katika eneo la TPC wilaya ya Moshi vijijini. |
No comments:
Post a Comment