ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, May 6, 2015

BALOZI WA UHOLANZI ATEMBELEA WIZARA YA MAMBO YA NJE

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb) kulia akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania, Mhe. Jaap Fredriks ofisini kwake leo. Mazungumzo hayo yalihusu kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Uholanzi.
Mazungumzo kati ya Mhe. Naibu Waziri na Mhe. Balozi yanaendelea. Wengine katika picha, kutoka kulia ni Bw. Adam Issara, Anthony Mutafya na Bi. Zulekha Tambwe ambao ni maafisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
Naibu Waziri, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim akiagana na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania, Mhe. Jaap Fredriks.

No comments: