Wasanii wawili wanaotamba Bongo hivi sasa Shilole na Nuh Mziwanda wametua leo nchini Ubelgiji tayari kwa show yao ya jumamosi.Wakiwa na nyuso za furaha hotelini walipofikia wameahidi kufanya bonge la show kwa pamoja.wameomba wapenzi wao wajitokeze kwa wingi kuja kushuhudia burudani.
Nuh Mziwanda kushoto akiwa na Shilole a.k.a Shishi Baby wakiwa tayari kuwapagawisha wapenzi wao jumamosi hii hapo Antwerpen.
[picha na Maganga One Blog]
2 comments:
Mwambie huyo Mzuwanda sijui nani atoe kiatu chake kwenye kuta za watu. Hiyo sio Tanzania eehhh
hahaha...hata mimi nilitaka kusema huo mguu kwa ukuta kulikoni! ndo maana nyumba za bongo kuta zake vimejaa madoa hadi zinaonekana chafu kumbe ni watu wenye tabia kama hizi, ustaarabu zero
Post a Comment