Advertisements

Friday, May 22, 2015

Karibuni Sana Wapendwa Wote

Img3.jpg


Mnakaribishwa sana
kwenye ibada ya misa takatifu kwa lugha ya kiswahili
kuadhimisha sikukuu ya akina mama

Ibada itafanyika katika kanisa takatifu katoliki la
Mtakatifu Edward (St Edward Parish)
901 Poplar Grove St,
Baltimore, MD 21216,

Jumapili Tarehe 31 Mei 2015.
Saa nane kamili mchana (2:00 PM).

Karibu sana na unaombwa uwataarifu na kuwakaribisha
ndugu, marafiki na jamaa zako.

Unakaribishwa kujiunga kwa mawasiliano ya
barua pepe anwani.


Kwa niaba ya Fr. Honest Munish ni katibu Dani Steven

No comments: