Advertisements

Friday, May 22, 2015

MHE PETER ILLOMO KATIBU MKUU OFISI YA RAIS ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON DC.

 Katibu mkuu ofisi ya Rais Mhe Peter Illomo akiweka sahihi kwenye kitabu maalum cha wageni.
 Mhe Balozi Liberata Mulamula akibadilishana mawazo na Ndg, Israel Kamuzora ujumbe aluofuata na Mhe Katibu Mkuu ofisi ya Rais.
 Ndg, Israel Kamuzora ujumbe aluofuata na Mhe Katibu Mkuu ofisi ya Rais pamoja na Katibu Mkuu ofisi ya Rais Mhe Peter Illomo mara baada ya kuwasili ubalozini.
 Mhe Balozi Liberata Mulamula kwenye picha ya pamoja na wageni wake kushoto ni Katibu Mkuu ofisi ya Raisi Mhe Peter Illomo na ujumbe aliofuata nao Israel Kamuzora.
     PICHA ZOTE KWA HISANI YA CAMERA YA UBALOZI.

No comments: