Waziri Mkuu Mweshmiwa Mizengo Pinda akijadili jambo na Ambassador Bertha Semu-Somi(Mama madawati) na Project Officer Kayemarie Bukila alipotembelea Banda la Hassan Maajar Trust
Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Mweshmiwa Dr.Shukuru Kawambwa alipotembelea banda la Hassan Maajar Trust
Naibu waziri Elimu-Tamisemi Mweshmiwa Kassim M Majaaliwa alipotembelea kibanda cha hassanmaajartrust
Naibu Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Mweshmiwa Anna Kilango akimsikiliza Mama Madawati(Bertha Semu-Somi) katikati , na Project Officer Kayemarie Bukila kulia alipotembelea banda la hassan maajar Trust
No comments:
Post a Comment