![]() |
| Mmiliki wa nyumba moja katika eneo la Majengo kwa mtei mjini Moshi amekutwa akiwa amejiunganishia maji kinyemela na kufunika na gunia eneo ambalo alikuwa amejiunganishia. |
![]() |
| Afisa wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi,Jacob Ulotu akiondoa gunia lililokuwa limefunika sehemu hiyo ambayo kiutaratibu ilitakiwa kuwa na meta ya kusoma matumizi ya maji. |
![]() |
| Hivi ndivyo ilivyokuwa ikionekana baada ya
kuondolewa gunia. |
![]() |
| Na maji alikuwa akitumia kama inayoonekana . |
![]() |
| Hii ndio nyumba ambayo imekutwa wiozi wa maji ukiwa unafanyika. |
![]() |
| Fundi wa MUWSA akijaribu kukata bomba lililokuwa likipeleka maji ndani ya nyumba hiyo. |
![]() |
| Zoezi la ukataji wa maji hayo lilisimamiwa na Afisa Uhusiano wa mamlaka hiyo Florah Nguma. |
![]() |
| Mafundi wakifukia eneo hilo. |
![]() |
| Eneo la nje ya nyumba hiyo ambayo wizi wa
maji ulikuwa ukifanyika. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
No comments:
Post a Comment