Mimi hushiriki katika matembezi haya kwa sababu nimeguswa na ndugu, jamaa na marafiki zangu waliokwisha tangulia mbele ya haki au wanaoendelea kuugua au wale wote waliopima na kujikuta na ugonjwa huu wa saratani. Tangia siku niliyoaanza kutembea matembezi haya nemeguswa sana na nitaendelea kila mwaka kuunga mkono jitihada za timu Tanzania na Susan G. Komen kwa kilio chao cha kupunguza na kutafuta dawa ya ugonjwa huu wa saratani. Nawaomba ndugu zangu Watanzania tujiunge kwa wingi kwenye timu yetu ya Tanzania kwa yeyote anayeweza kuja kwenye matembezi haya siku ya May 9, 2015 Washington, DC popote pale ulipo. Yote ni kuwaenzi wale wote waliotangulia mbele ya haki au wanaoendelea kutaabika na maradhi haya, jiunge sasa kwa kufuata maelekezo hapo chini.
We have started a team for this year’s Susan G. Komen Global Race for the Cure™ on Saturday, May 9. The name of my team is TEAM TANZANIA.
Timu Tanzania
We have started a team for this year’s Susan G. Komen Global Race for the Cure™ on Saturday, May 9. The name of my team is TEAM TANZANIA.
I’d love for you to be a part of TEAM TANZANIA. And joining us is easy! Go to GlobalRacefortheCure.org
> REGISTER and choose “Join a Team.”
I started a team because it is the best way to experience one of the best Races in the area
Welcome to the Susan G. Komen Global Race for the Cure. Learn more about the event. Register to be a walker. Get fundraising tips. And see the impact that the Komen Global Race has in the Washington D.C. area.
No comments:
Post a Comment