Familia ya Geraldine Ngowi na Grace Mlingi wa Silver Spring, MD inapenda kuwashukuru wote kwa kushiriki kwa njia moja au nyingine kwenye misa ya kumbukumbu ya maisha ya Michael Ndaskoi Mlingi .
Michael Mlingi alikuwa baba mzazi wa Grace Mlingi na tulimpoteza mwezi wa machi mwaka huu.
misa hiyo ilifanyika Jumamosi May 16th 2015 katika kanisa la Saint Edward Roman Catholic Church 901 Poplar Grove St, Baltimore, Maryland 21216
kutoka kushoto ni mdogo wa Grace kwa jina Gloria na kulia ni mama mzazi wa Grace Bi Geraldine Ngowi.
Kwapicha zaidi tembelea ISKAJOJO STUDIOS hapa
1 comment:
Michael was my classmate Form iv 1987. Was Such a gentleman! RIP Michael Ndaskoi.
Post a Comment